PATA RAMANI YA NYUMBA YA 3BEDROOM

Ramani bora za kisasa kipekee kabisa utazipata kwenye blog hii , zenye mionekano ya kiafrika na zenye kutekelezeka na si mzigo kwa mjenzi,

leo kama zawadi yangu kwenu ya sikuku ya EID nawaletea ramani hii hadi mpangilio wa vyumba vya ndani ili msomaji wa blog hii ufurahi na uwakaribishe wengine kuingia humu.

SIFA ZA RAMANI HII;
3BEDROOM (1MASTER)
SITTING ROOM
DINING AREA
STORE
KITCHEN
PUBLICK TOILET.
FRONT & REAR VERRANDAH.

MATERIAL.
TOFARI ZA BLOCKS 2650
TOFARI ZA KUCHOMA 9550
BATI 75
MBAO 450,
inaweza kuingia kwenye eneo la high density 15x15
Baada ya kuiona usisahau ku shere!
kwa mawasiliano zaidi,0756230076,0783230076
email,  protas25sangu@gmail.com




PATA RAMANI YA NYUMBA YA 3BEDROOM PATA RAMANI YA NYUMBA YA 3BEDROOM Reviewed by Protas Sangu jr on Monday, June 26, 2017 Rating: 5

3 comments:

Two bedroom kitchen and public toilet

 Bati 25 Tofali 2100 Ramani yake /complite drawings 0756230076, 0783230076


Powered by Blogger.