RAMANI NZURI NA NAFUU YA VYUMBA VINNE.

Habari.
leo nawaletea ramani ya nyumba zisizoonekana paa ( Hiden Roof )
nyumba hizi zina gharama nafuu ya ujenzi wa paa, kwasababu hazili bati nyingi na haichagui aina ya bati, mfano bati ndefu huonekana nzuri kama ukitumia msouth lakini aina hii ya uwezekaji haitaji uchaguzi mwingi wa bati.,
lakini pia huwa na muonekeno mbaya kama ikikosewa ujenzi hadi hupelekea kuvuja na kuchosha ndani ya muda mfupi.
watu wengi wanazipenda kwasababu ndio usasa, zipo uniq sio nyingi hivyo kila mtu anapenda upekee wake.

MAHITAJI.
Nyumba hii ina vyumba vinne (4)
vitatu vya kawaida na kimoja self(master)
public toilet,
kitchen
store
sebure na dining kubwa ya viti8

MATERIALS
Bati 65
TOFARI ZA KUCHOMA 13,500
MAWE YA MSINGI TIPP 9

SIZE.
Ina upana 15m na urefu 14m

MAWASILIANO.
Kupata ramani hii na maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia whatsaap au call kupitia 0756230076 au calls only 0783230076

TAZAMA VIDEO YAKE HAPA
Usisahau ku SUBSCRIBE Channel yetu ya YOUTUBE ili kupata kazi mpya tunazopost kila siku.



PICHA



RAMANI NZURI NA NAFUU YA VYUMBA VINNE. RAMANI NZURI NA NAFUU YA VYUMBA VINNE. Reviewed by Protas Sangu jr on Friday, February 28, 2020 Rating: 5

3 comments:

Two bedroom kitchen and public toilet

 Bati 25 Tofali 2100 Ramani yake /complite drawings 0756230076, 0783230076


Powered by Blogger.