KOKOTE ULIPO RAMANI ITAKUFIKIA.

Habari za majukumu, leo nawaletea namna ambavyo utaweza kuipata ramani bila ya kuonana face to face, utatumiwa na kuipata huko ulipo,

   Hatua ya kwanza ni kuniletea wazo lako, unahitaji nyumba ya namna gani, vyumba vingapi?, mahitaji yako yapoje kama dining,study room,jiko n.k.

kama utakua umeiona mahali kwenye
mtandao utanitumia picha yake kupitia namba yangu ya whatsapp 0756230076
kama hauna ramani ya ndani (vyumba) nitaichora, lakini kabla ya kuchora nahitaji kujua ukubwa wa site yako(kama unayo) kipato chako na uwezo wa kuijenga,
aina ya udongo wa Ardhi ya sehemu husika,ina majimaji au ngumu, aina ya udongo n.k. ni vitu ambavyo vinaonekana kwa macho hata kama siyo mtaalamu.
pia nitaomba unitumie block plan ili kujua location ya kiwanja(kama kimepimwa)

baada ya hapo nita design kulingana na mahitaji yako, kabla ya kukuonyesha design, ili kujua kama uko serius na kutumia muda wangu vizuri nitaomba unitumie advance ya kiasi chochote cha pesa kisichopungua 15,000/-, utanitumia kwa namba yangu ya mpesa 0756230076.


baada ya kuiona pesa, nitakuwekea ramani uione, utasahihisha na kutoa coments wapi pa kulekebisha, nitaifanyia marekebisho hadi mteja atakapolizika.

mteja atanipa muda wa kuweka marekebisho na kuikamilisha.

ikishakamilika kuna njia tatu za kutuma,
kwanza kwa hardcopy natuma kwa posta au basi itakufikia huko ulipo,gharama za kutuma tutaelewana lakini masharti ya hii ni pale utakapoiona document ya posta ya kutumia mzigo utanimalizia pesa yangu yote iliyobakia kabla mzigo haujafika.

njia ya pili ni kwa kukuwekea kwenye email adress yako au kwakutumia kwenye namba yenye Whatsapp kwakua mchoro utakua kweny format ya PDF hautaleta shida yeyote, huko ulipo utaprint, pia wakati wa kukutumia sitakuwekea page zote za ramani, nitakuwekea baadhi ili unitumie pesa iliyobaki ndipo nami namalizia document chache zitakazokua zimebaki kwangu,maana wengine siyo waaminifu
na hapo ndipo utakua umeupata mchoro wako.

Utatumiwa michoro ifuatayo;

  1. GROUND FLOOR PLAN.
  2. SECTION AND DETAILS
  3. ELEVATIONS (LEFT,REAR,RIGHT AND FRONT)
  4. ROOF PLAN,
  5. FOUNDATION PLAN
  6. SITE PLAN (KWA VIWANJA VILIVYOPIMWA)
  7. SEAWAGE SYSTERM (Soak away pit na septik tank)
  8. FANCE.
  9. 3D VIEWS
ni michoro ambayo ipo standard na ubora wa hali ya juu.
kwa mawasiliano na maelezo zaidi piga 0756230076,0783230076
asante.

KOKOTE ULIPO RAMANI ITAKUFIKIA. KOKOTE ULIPO RAMANI ITAKUFIKIA. Reviewed by Protas Sangu jr on Thursday, July 06, 2017 Rating: 5

No comments:

Two bedroom kitchen and public toilet

 Bati 25 Tofali 2100 Ramani yake /complite drawings 0756230076, 0783230076


Powered by Blogger.