Nyumba hii ina sifa zifuatazo
CHUMBA KIMOJA MASTER
VYUMBA VYA KAWAIDA SELF CONTAINER VIWILI,
SEBULE KUBWA,
STORE
JIKO
DINING YENYE NAFASI KUBWA,
BARAZA YA NYUMA NA MBELE ZENYE NAFASI ZA KUTOSHA.
Pia unaweza kuijenga kwenye eneo la mita 20 kwa 20,
yenyewe ina mita 13.5 kwa mita 13.9.
ina muezeko wa kisasa,
MATERIALS
Bati 123
mbao 550
mawe ya msingi tip 15 ya roli la 3.5mqb
tofari ya kuchoma nch4.5 12500
tofari za cement blocks 15cm x 45cm 3800
kuipata ramani ya nyumba hii au ukitaka kujengewa tuwasiliane kupitia,
0756230076,0783230076,0716906297
picha zinafuata.

GROUND FLOOR PLAN |
FRONT VIEW |
RIGHT |
REAR VIEW (NYUMA) |
PATA RAMANI YA NYUMBA YA FAMILIA YA KISASA KABISA YA VYUMBA VITATU,
Reviewed by Protas Sangu jr
on
Friday, March 03, 2017
Rating:
Mnaweza nisaidia Raman ya vyumba viwili vya kawaida,kimoja master na sebule. Viwe vidogo tu vya kawaida
ReplyDeleteGood map
ReplyDelete