3 BEDROOOM FAMILY HOUSE PLAN.

Ramani hii ya vyumba vitatu ina ukubwa wa mita10 mbele(upana) na urefu wa mita13.5 inatosha kwenye eneo lenye ukubwa wa mita13 kwa 20,
ina master bedroom kubwa,
bedroom za kawaida mbili,
sitting area,
jiko,
store ,
public toilet na baraza mbele na nyuma, haina dining area.


tuwasiliane utaipata kwa bei poa!
0756230076,0783230076





3 BEDROOOM FAMILY HOUSE PLAN. 3 BEDROOOM FAMILY HOUSE PLAN. Reviewed by Protas Sangu jr on Wednesday, May 10, 2017 Rating: 5

No comments:

Two bedroom kitchen and public toilet

 Bati 25 Tofali 2100 Ramani yake /complite drawings 0756230076, 0783230076


Powered by Blogger.