SIFA.
Ramani hii ina vyumba viatu,
Master bedrom
Sitting area.
1 Self bedroom
Bedroom
Kitchen
Dining Area
Min Store
Public toilet
UKUBWA.
Ina urefu wa mita 11.1 kwa 10.3
Sitting area 4.5m kwa 4.4 mitre
Master bedroom ina 3.5m kwa 4.1 mitre
Ina ukubwa wa 102.4sqm (covered area)
MATERIALS
Kama utajenga msingi wa mawe utatumia trip 8 za gari yenye ujazo wa 3.5msq
Utajenga boma kwa tofari za kuchoma za inch4 kama utajenga mojamoja utatumia tofari 9200
kama utatumia tofari za blocks (cements) utatumia tofari 3300.
Utafunika kwa baati 75 zenye ukubwa wa futi 10
NB; Makadirio haya yanaweza kuongezeka kwa 15% kulingana na makosa ya kibinadamu.
unaweza ukatumua milioni51 kuweza kuimaliza kwa kiwango kizuri ikawa na kilakitu,lkn pia hutegemeana na sehemu.
kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuipata kwa gharama nafuu zaidi tuwasiliane,
0783230076
0756230076
picha zinafuata,

UPANDE WA MBELE JUU |
UPANDE WA MBELE |
UPANDE WA KULIA JIKONI |
UPANDE WA NYUMA JIKONI. |
RAMANI YA KISASA KABISA YA VYUMBA VITATU.
Reviewed by Protas Sangu jr
on
Sunday, April 09, 2017
Rating:
ramani ni nzur ila haujatuonyeshea gound floor plan ipoje
ReplyDeleteKWELI WATU WENGI SIYO WAAMINIFU, KAMA UPO INTEREST NAYO TUWASILIANE 0756230076 WHATSAP
DeleteNiaje
DeleteKazi n nzuri Sana nmekukubali
ReplyDeleteIdadi ya tofari iliyo chukua na bati ningapi
ReplyDeleteBlocks elf3 kwa elf9 kuchoma
ReplyDeleteInterested
Delete