Ramani ya nyumba ya familia ya vyumba vinne.

 YALIYOMO:
IDADI YA VYUMBA: Master bedroom moja ikiwa na dressing area na choo kikubwa ndani yake
Vyumba viwili vikiwa selfu na chumba kimoja kikiwa ni single.

Chii cha public, sehemu ya kulia chakula na sebure

jiko na store.

ramani hii sio fixed, hivyo inabadilika kulingana na mahitaji ya mteja, hivyo idadi ya materials kama bati tofari mbao n.k vitatokana na mahitaji ya mteja kwa maana ya size za vyumba. kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba ya whattsap na kawaida 0756230076 na 0783230076.


 





Ramani ya nyumba ya familia ya vyumba vinne. Ramani ya nyumba ya familia ya vyumba vinne. Reviewed by Protas Sangu jr on Wednesday, February 16, 2022 Rating: 5

No comments:

Two bedroom kitchen and public toilet

 Bati 25 Tofali 2100 Ramani yake /complite drawings 0756230076, 0783230076


Powered by Blogger.