HOUSE FOR HOUSE BOY/GIRL WITH 2BEDROOM

Nyumba hii ni maalumu kwa ajili ya wafanyakazi wa ndani au shamba boy
Nyumba hii inapaswa kujengwa upande wa nyuma wa kiwanja,
Jamii nyingi zinadharau na kuwajengea nyumba mbaya za uani hivyo
Kusababisha kuharibu muonekano wa madhingira.
Muonekano huu mzuri una mahitaji yafuatayo,

Vyumba vya kulala viwili,
Kimojawapo kikiwa ni self,
Choo ya public  pamoja  na store,

Nyumba hii haina sitting room wala jiko,ji kwaajili ya wafanyakazi wa nyumbani
Au wageni maalumu ambao watahitaji self au single bedroom wanapokuja kukutembelea.
Kwa taarifa zaidi ya nyumba hii tuwasiliane, 0756230076(whatsap) 0783230076

Picha zinafuata.




HOUSE FOR HOUSE BOY/GIRL WITH 2BEDROOM HOUSE FOR HOUSE BOY/GIRL WITH 2BEDROOM Reviewed by Protas Sangu jr on Tuesday, December 03, 2019 Rating: 5

No comments:

Two bedroom kitchen and public toilet

 Bati 25 Tofali 2100 Ramani yake /complite drawings 0756230076, 0783230076


Powered by Blogger.