ZILIPENDWA NA ZITAZIDI KUPENDWA......

Habari za muda huu,
leo nawaletea ramani ya nyumba yenye muundo wa zamani kidogo,
wengi walikua wakiuita mgongo wa tembo,
ni muundo ambao haukati bati,hauhitaji bati nyingi,
pia ni salama kwa mbao,kutokana na muundo wa kenchi lake na kuwa supported na ukuta inasaidia kutumia mbao chache.

Nyumba hizi ni muhimu sana kwa wakati huu ambao watanzania wamehamka
 na kujua thamani ya fedha, hivyo tumekua wazuri katika kubana matumizi, blog yako ya ramanizetu inakuletea ramani ya nyumba nzuri utakayoipenda na rafiki kwa mfuko wako,

VILIVYOMO;
1 SELF BEDROOM(MASTER)
2 SINGLE BEDROOM
SITTING AREA
KITCHEN
STORE
PUBLIC TOILETS (WC $ SH)
FRONT & REAR VERRANDAH

UKUBWA WA NYUMBA(SIZE)
Ina urefu wa mita 13.3 kwa Upana wa mita 9.3
Ina total built up area (floor area) 105.138mitre squre

MATERIALS
Mawe ya msingi 6 tipp (3.5volume par tipper)
kokoto ya msingi tip1
mchanga hadi boma 3tipp
sement mifuko12 kwaajili ya msingi wa mawe
TOFARI
Kuchoma 9,700 cement utajengea kwa mifuko 19
Blocks (cement) 2,335 mifuko 15 ya kujengea


Ina madirisha 9 makubwa ikiwa kila chumba kina madirisha2 na 4madogo ya vyooni na
store,
kwa mawasiliano zaidi na kuipata ramani hii kwa vunja bei tuwasiliane kwa
0756230076 SMS,CALLS AND WHATSAAP
0783230076 SMS AND CALLS

MBELE YA NYUMBA

MBELE YA NYUMBA

NYUMA YA NYUMBA

KUSHOTO MWA NYUMBA



ZILIPENDWA NA ZITAZIDI KUPENDWA...... ZILIPENDWA NA ZITAZIDI KUPENDWA...... Reviewed by Protas Sangu jr on Thursday, April 05, 2018 Rating: 5

No comments:

Two bedroom kitchen and public toilet

 Bati 25 Tofali 2100 Ramani yake /complite drawings 0756230076, 0783230076


Powered by Blogger.