NEW 3 BEDROOM HOUSE PLAN

YALIYOMO,

  • 1,MASTER BEDROOM  4.5m x 3.65m (WITH PRAY AREA)
  • 2,BEDROOM  @3.5m x 3.5m
  • KITCHEN 3.4m x 2.5m
  • STORE 2.3 x 1.2m
  • SITTING &DINING AREA 6.1m x 4.5m
  • PUBLIC TOILET12m x 2.35
  • TWO VERRANDAH

Sifa za ziada 
ni nyumba ya kisasa ambayo haina corridor,
watu wengi siku hizi hawapendi nyumba zenye korido ndefu kuunganisha vyumba,
nyumba hii ina corridor ndogo ya mita mbili pekee, ni ajabu lakini ndivyo ilivyobuniwa kwa ubunifu wa hali ya juu,
ukubwa wake ni.upana mita 11.1 kwa mita12.25 hivyo inaingia hadi kwenye kiwanja cha high density cha 15 x 15mitre
inaweza kutumia bati zisizo pungua 83 za futi 10
tofari za block 2962 za nchi tano
tofari za kuchoma 8176 za nchi4.5
mawe ya msingi trip 6

kwa maelezo zaidi na kuipata ramani hii piga simu namba 0756230076(whattsap) , 0783230076
tazama picha zake.

front





NEW 3 BEDROOM HOUSE PLAN NEW 3 BEDROOM HOUSE PLAN Reviewed by Protas Sangu jr on Wednesday, March 07, 2018 Rating: 5

No comments:

Two bedroom kitchen and public toilet

 Bati 25 Tofali 2100 Ramani yake /complite drawings 0756230076, 0783230076


Powered by Blogger.