RAMANI HII NI YA VYUMBA VIWILI

 VILIVYOMO;
2 BEDROOM(1MASTERBEDROOM)
PUBLICK TOILET
KITCHEN
DINING
SITTING AREA
FRONT AND REAR VERRANDAH
INA UKUBWA 74.8SQM
KUTOKA PEMBE HADI PEMBE 9.9m KWA 9.4m
BATI 55  ZA UKUBWA WA MITA3
TOFARI ZA BLOCKS 2200
TOFARI ZA KUCHOMA 6500 ZA INCH 4.5
Tuwasiliane kuipata kwa bei nafuu sana 0756230076




RAMANI HII NI YA VYUMBA VIWILI RAMANI HII NI YA VYUMBA VIWILI Reviewed by Protas Sangu jr on Sunday, November 13, 2016 Rating: 5

26 comments:

  1. mpaka kukamilika ina gharimu shilingi ngapi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. utategemeana na sehemu unapojengea na aina ya material, lakini rafu tenga bajeti kwanzia milion25 ukitaka iende non stop

      Delete
    2. Tofar moja ya kuchoma tsh 100
      6500 @100=650,000/=

      Siment hapo kwa renta na sakafu 30 begs @12000 360,000/=
      Mbao za kench 6500

      Hapo maybe milion 7

      Delete
  2. how much did it cost untill the finishing

    ReplyDelete
  3. Je unaweza kuibadilisha ikawa ghorofa ili kwa baadae uweze kuongeza vyumba vingine kwa juu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. inawezekana karibu utupe kazi ndugu John eliabu

      Delete
  4. Je unaweza kuibadilisha ikawa ghorofa ili kwa baadae uweze kuongeza vyumba vingine kwa juu?

    ReplyDelete
  5. mfano wa nyumba za moja kwa moja yenye masterbedroom,chumba kingine sebure,kijiko inaweza kugharimu tsh ngapi

    ReplyDelete
    Replies
    1. boma unaweza kulisismamisha kwa milion 6.5 juu itategemeea na material lakini badjet ya 26milion kama utajenga non stop bila kujipanga au kududnduliza na kwa mafundi quality

      Delete
  6. Nahitaji kujenga nyumba ya vyumba viwili na nina 6mil,je itatosha nipo nje kidogo na mji wa mwanza.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama ni vyumba pekee bila chochote ,bati la kawaida inatosha au pengine utaongeza laki tano tu

      Delete
  7. yah nyumba hiyohiyo kuna mwingine atatumia milion25 mwingine hadi 100,kikubwa ni aina gani ya material unayotumia, mfano kiama unatumia tofari za kuchoma na bati la kawaida unahitaji 6 milion kusimamisha boma pekee

    ReplyDelete
  8. Vyumba 3 na sebure inagharimu kiasi gn

    ReplyDelete
  9. Summary of materials you are expecting to incur the cost up to 26milions

    ReplyDelete
  10. Replies
    1. Mr.Konk karibu sana, nitext whattsap 0756230076 kwa kupata ramani Kali zaidi ya hizi

      Delete
  11. Nahitaji ramani yavyumba vitano

    ReplyDelete
  12. Inatia matumaini sana ya kujenga,lakn nahitaji ramani ya vyumba viwili,masterroom iwe na choo tu,

    ReplyDelete
  13. Nyumba ya vyumba vitatu self, sebule 1 kubwa,dining, jiko, verrander mbili, je inaeza gharim shiling ngap?

    ReplyDelete
  14. Naitaj laman ya viumba viwili

    ReplyDelete
  15. Sorry tumia 0756230076 sio hiyo 86

    ReplyDelete
  16. Ramani ya vyumba viwili inaweza cost sh ngapi?

    ReplyDelete

Two bedroom kitchen and public toilet

 Bati 25 Tofali 2100 Ramani yake /complite drawings 0756230076, 0783230076


Powered by Blogger.