3BED ROOM FAMILY HOUSE DESIGN.

HABARI:
Karibu kwenye blog yako pendwa , leo tunakuletea ramani ya nyumba
yenye muonekano wa kuvutia inayoweza kujengwa na mtu wa hali ya chini kabisa ya kiuchumi,
nyumba hii ina vitu vifuatavyo,
MASTER BEDROOM MOJA
SINGLE BEDROOM MBILI
SITTING AREA
DINING ROOM
KITCHEN
STORE
PUBLIC TOILET
FRONT & REAR VERANDAH

Nyumba hii ina urefu wa mita 13.4 na upana wa mita 11.3 kwa maana hiyo
ukiwa na eneo la mita 15 kwa 20 inaenea bila shida.

MAHITAJI:
Baadhi ya material yanayohitajika kwa kifupi,
Mawe ya msingi tipper 7 zenye ujazo wa 3.5qm
Tofari za kuchoma 8,933 za nch4.5
AU Tofari za block 2589
Bati inachukua bandle4.5 kwa maana ya bati la size ya futi10 kwa 1mitre,
kwa mahitaji ya ramani hii pamoja na kujengewa tuwasiliane 0756230076(whtsap inayo pia)
0783230076
pich zinafuata,






3BED ROOM FAMILY HOUSE DESIGN. 3BED ROOM FAMILY HOUSE DESIGN. Reviewed by Protas Sangu jr on Thursday, July 26, 2018 Rating: 5

No comments:

Two bedroom kitchen and public toilet

 Bati 25 Tofali 2100 Ramani yake /complite drawings 0756230076, 0783230076


Powered by Blogger.